Mtu wa Mungu
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 444
- 19
Kwa sasa hivi wabunge wengi wa ccm wanajitenga na serikali, wamejifunza kutokana na uchaguzi uliopita. Sasa hivi kila mbunge atajitahidi kufanya kila liwezekanalo kuwafurahisha wananchi wake vinginevyo 2015 patakuwa pagumu. Ni matumaini yangu kuwa watakuwa mstari wa mbele katika kutetea maslahi ya taifa.
Hongera Mnyika.