Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
KAMA NDIVYO ALIVYOKUWA ANAMAANISHA NA KAMA NI KWELI ANATAKA TUENDELEE KUTESEKA BASI MIMI BINAFSI NAMWACHIA MWENYEZI MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI.NILIPOFIKIA BASI NAMKABIDHI YEYE NA HAKUNA ALISHINDWALO.KATIBA MPYA NDIO MSINGI WETU MZURI JAMANI MBONA TUTAKUFAAAAAAAA.EWE MTANZANIA AMKA SASA ACHA KUSINZIAVisingizio vyovyote vya kuikataa Katiba mpya kutoka kwa watawala , haviwezi kuwa na mashiko yoyote , wanaikumbatia iliyopo kwa vile inawapa uhuru wa kufanya wapendavyo.
Njia pekee ambayo ni rahisi na halali kwa watanzania kupata katiba mpya ni kuidai kwa udi na uvumba , hamtaipata kwa njia za Mdebwedo , na wala hakuna kiongozi yeyote aliyewahi kuzuia nguvu ya umma ambayo kiuhalisia ni nguvu ya Mungu mwenyewe , katika nchi zote za kidikteta marekebisho yoyote ya katiba hufanyika baada ya vuguvugu fulani , mfano halisi ni jamhuri ya watu wa Kenya.
Jambo hili wasiachiwe Chadema na wanaharakati pekee , wananchi wote unganeni , na wala msiogope , mtashinda tu .
View attachment 917914
maneno kuntuKAMA NDIVYO ALIVYOKUWA ANAMAANISHA NA KAMA NI KWELI ANATAKA TUENDELEE KUTESEKA BASI MIMI BINAFSI NAMWACHIA MWENYEZI MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI.NILIPOFIKIA BASI NAMKABIDHI YEYE NA HAKUNA ALISHINDWALO.KATIBA MPYA NDIO MSINGI WETU MZURI JAMANI MBONA TUTAKUFAAAAAAAA.EWE MTANZANIA AMKA SASA ACHA KUSINZIA
Madaraka hupofusha vibaya mno ! anahuruma na hela kwenye mambo ya maana lakini anamaliza hela kununua akina Waitara !JPM ametoa sababu za hovyo kabisa kukataa mchakato Katiba mpya.Analinganisha Tz na Marekani!? Pia Lugha ya zarau watu wanapenda kula posho tu! "Sina hiyo pesa,na wafadhili wakitoa zijenge reli,Stiglas Gouge" Mh.Rais Wewe ni Kiongozi wetu sote,tupe Lugha za matumaini na faraja. Ubabe waachie vyombo vya usalama japo nao Siku hizi wamestarabika wana mpaka dawati customer care na gender desk.
utakufa mwenyewe huko. kwani katiba hiyo inaleta mvua au utakufa kwa lipi? acheni ujinga Fanya Kazi ndugu achana na ndoto za kufa kisa katibaKAMA NDIVYO ALIVYOKUWA ANAMAANISHA NA KAMA NI KWELI ANATAKA TUENDELEE KUTESEKA BASI MIMI BINAFSI NAMWACHIA MWENYEZI MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI.NILIPOFIKIA BASI NAMKABIDHI YEYE NA HAKUNA ALISHINDWALO.KATIBA MPYA NDIO MSINGI WETU MZURI JAMANI MBONA TUTAKUFAAAAAAAA.EWE MTANZANIA AMKA SASA ACHA KUSINZIA
uoga ni laanautakufa mwenyewe huko. kwani katiba hiyo inaleta mvua au utakufa kwa lipi? acheni ujinga Fanya Kazi ndugu achana na ndoto za kufa kisa katiba
sasa unamwambia nani adai hali wewe upo Hapo umeshindwa kudai upate katiba ukalimie shamba lako au unataka nn zaidiuoga ni laana
umoja ni nguvuHii ya sasa inamfaa sana raisi dikteta na raisi mungu-mtu!