Katiba mpya iangalie utaratibu mpya wa kuchagua viongozi

manka2

Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
17
Reaction score
4
Wana jamii forums

Natoa angalizo kwa mchakato wa katiba mpya kuwa serikalii iangalie kama kuna uwezekanao wa kubadilisha mfumo wa kuchagua viongozi badala ya kupiga kura zoezi ambalo linatumia fedha nyingi sana ya walipa kodi labda tungeaza uaratibu wa "interview" kwa ngazi zote from udiwani to president.

Nawasilisha
 
mkuu chombo kipi kiwe kinawahoji? mfano kwenye nafasi ya urais?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…