<br /><font size="3"><span style="font-family: times new roman">sounds good, wasiwasi wangu ni kuwa by then hakutakuwa na lolote la kujivunia kama MTz</span></font>
sawa lakini mtanzania halisi ni yupi?ni yule aliyezaliwa tanzania au?au wewe unazungumzia rangi?kwa sababu wako watanzania wengi kwa maana ya kuzaliwa tanzania na wana haki zote za uraia lakini sio weusi.babu zangu wote,wa upande wa baba na mama hawakuwa watanzania kwa asili.je mimi ni mtanzania halisi?great thinkers! Nawaomba sana mzame na tulitafakari kwa makini na kama litakubalika liwekwe kwenye katiba mpiya. Ni hili hapa, "katiba itamke kwamba nchi hii ni kwa wananchi halisi tu." na haki zao zibainishwe kikatiba. Naomba mnielewe kwamba sina maana kwamba watu wengine watengwe la hasha! Bali haki zao ziwe na mipaka kikatiba! Kama ilivyo katiba ya india imebainisha wazi kwamba: "india is for pure indians." nawasilisha.