Kifungu Sahihi ni hiki hapa hawa jamaa wamekirusha na nadhani hiyo haki unayoitaja ni sehemu tu ya Haki. Haki ya kucheza ni ya msingi kabisa kwa ajili ya mazoezi ya viungo ambayo ni muhimu kwa ukuwaji, kutambua mazingira na kujifunza mbinu mbalimbali katika umri wao. Wote tuliyocheza utotoni tunamengi yaliyotusaidia. Watoto wanaopata nafasi ya kucheza wanasaikolojia wanasema wanakuwa na ufahamu mkubwa uwezo na kujiamini:
Katika katiba hii mpya naona kungekuwa na kipengele cha kunyonga wauza unga wote na serikali itoe donge nono kwa yeyote atakayemuanika hadharani muuza unga.