Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
Katiba ijayo itatoa hili tatizo. Kwani kutakuwepo na kipengele cha ukomo wa Ubunge.
Kuna Wabunge umri umekwenda kweli lakini hawataki kuachia kiti cha Ubunge. Mtu kawa mpaka Babu na wengine Bibi lakini wapi bwana. Bado anapambana kupita.
Imefikia wakati Wabunge wanalala tu Bungeni kisa umri na maradhi ya utu uzima. Jamani tuwapishe wengine wenye nguvu.