Kuna Mbunge mmoja (Jina ninalo) huko Jimboni kwake wanamuita "BABU" umri umekwenda kweli lakini bado anataka Ubunge!
Nimeambiwa Bungeni huwa hachangii chochote muda mwingi anakuwa India anatibiwa.
Wazee kuleni pension zenu jamani, tuwape nafasi wengine.