Kutokana na mijadala mitandaoni inaonekana tuna SHERIA zinazokinzana au kupora mamlaka ya kifungu cha KATIBA.
Ipasavyo ni kuwa kifungu cha KATIBA kinapaswa kuenziwa/kusujudiwa/ na SHERIA sio kukibana na kubadilisha maana ya kifungu cha KATIBA.
Kabla ya SHERIA kuipitisha lazima kuhakikiwa kama inaitikia NIA YA Kifungu cha KATIBA. Kama SHERIA itakinzana na KATIBA isipitishwe na ikipitishwa iwe batili.