Katiba mpya imemwengua Prof, Lipumba kugombea urais 2015 ama sivyo atawekewa pingamizi!!!

Katiba mpya imemwengua Prof, Lipumba kugombea urais 2015 ama sivyo atawekewa pingamizi!!!

KING COBRA

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
2,782
Reaction score
875
Kwa muujibu wa CD iliyonaswa msikiti wa idrisa na kuandikwa na gzt la tz daima inaonyesha kuwa sera za prof lipumba ni udini na unalenga kupendelea dini hivyo kama katiba itapita itaweka mwanya wa kuwekewa pingamizi!!!
Angalia sifa za mgombea hapa!!



75
. Mtu atakuwa na sifa ya kuchaguliwa kushika nafasi ya madaraka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano ikiwa:


(a) ni raia wa kuzaliwa wa Jamhuri ya Muungano kwa mujibu wa
Katiba hii na sheria za nchi;

(b) ni mwenye akili timamu;

(c) angalau mmoja kati ya wazazi wake ni raia wa kuzaliwa wa
Jamhuri ya Muungano;

(d) wakati wa kugombea, ana umri usiopungua miaka arobaini;

(e) anazo sifa za kumwezesha kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano kwa mujibu wa Katiba hii;

(f) anayo angalau shahada ya kwanza ya chuo kikuu
kinachotambuliwa kwa mujibu wa sheria za nchi;

(g) ni mwanachama na mgombea aliyependekezwa na chama cha
siasa au mgombea huru;


(h) sera zake au sera za chama chake si za mrengo wa kuligawa
Taifa kwa misingi ya ukabila, udini, rangi au jinsia;


(i) ni mwadilifu na anafuata maadili ya Taifa;

(j) mwenendo wake binafsi hautiliwi shaka na jamii;

(k) hajatiwa hatiani kwa kosa lolote la jinailinalohusu kukosa
uaminifu; na

(l) katika kipindi cha miaka mitano kabla ya tarehe ya Uchaguzi
Mkuu hajawahi kutiwa hatiani katika Mahakama yoyote kwa
kosa lolote la kukwepa kulipa kodi yoyote ya Serikali.
 
ndani ya CUF kuna mgogoro wa katiba na sera!!!!!!!!!!!!!!
1.Muungano wa Mkataba na Muungano wa Serikali tatu
2.Sera ya uliberali na sera ya uyajilisho
 
Back
Top Bottom