Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,451
Neno "kustaafu" kisheria linapaswa kuwa na tafsiri moja, lakini sivyo ilivyo katika she ria za nchi hii zinazohusu ajira na mafao ya mstaafu serikalini. We we unachangia mfuko wako, kw mfn PPF, PSPF, NSSF nk. Lakini wanasiasa hawachangii wakiwa kazini na wanapotoka kwenye ajira wanachotewa tu huko hazina kwa kisingizio cha "kustaafu" mwanasiasa anastaafu kweli? Wewe umri ukifika unastaafu. Wanasiasa wanastaafu vipi kama kisheria wanaruhusiwa kupewa au kugombea nafasi walizokuwanazo mara kadha wa kadha? [Sheria na 2 ya 1999, na She ria na 3 ya 1999].Ibara ya 238;ibara ndogo ya pili,d. Inasema kama mtu amestaafu serikali,jeshi au polisi,asihesabiwe kwamba bado ana madaraka,kws vile tu analipwa pensheni. Hii naona kama vile inawabagua wastaafu kutoa maoni yoyote kuhusu jambo lolote linalitokea. Inawaita wastaafu""kero "".
Sasa ndiyo ninampango wa kuisoma ya zamaniIbara ya 238;ibara ndogo ya pili,d. Inasema kama mtu amestaafu serikali,jeshi au polisi,asihesabiwe kwamba bado ana madaraka,kws vile tu analipwa pensheni. Hii naona kama vile inawabagua wastaafu kutoa maoni yoyote kuhusu jambo lolote linalitokea. Inawaita wastaafu""kero "".