mtoto wa mchungaji
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 279
- 480
Nadhani katiba ya Mgeleza Malikia Eliza kwa miaka takribani sabini sasa inatosha, ipo haja ya kuwa na katiba ya watanzania na si ya Mgeleza wala wanasiasa.
Pia swala la muungano litazamwe upya kwa maslai mapana, aidha ya Tanganyika na Zanzibar au Tanzania.
Kuchelewa au Kusimamisha lolote kati ya haya ni sawa na kujidanganya kusimamisha muda.