Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
What if cag ndio mtuhumiwa namba moja?Hakuna maana yoyote na wala haileti mantiki CAG kuisomea report serikali wakati ndo mtuhumiwa mkuu wa madudu hayo. Katika katiba ijayo kama itaridhiwa tuukatae huu upuuzi. Haina maana sana serikali hiyo hiyo inayofanya madudu ndo ati isomewe report .
Nashauri marekebisho yafanyike na CAG awe anachukua hatua stahiki mara moja na kuketa taarifa ya hatua zilizochukuliwa ili mzigo uwe wa CAG na si kwa mtuhumiwa wa wizi . Huu mchezo ndo unatufanya tume gota kwenye cycle .
Ukisha sema what if inageuka theory aka mawazo ya kusadikikaWhat if cag ndio mtuhumiwa namba moja?
Jamaa is dramatic
Tuone full report tutagundua jamaa anapagawa na camera
Ana serve important place kwenye serikali, yeye ndio check and balance. Asilaumiwe kwa lolote maana anafanya kazi hiyo vizuri, waonatakiwa kuchukua hatua ambao ndio viongozi wa nchi ndio wenye shidaHakuna maana yoyote na wala haileti mantiki CAG kuisomea report serikali wakati ndo mtuhumiwa mkuu wa madudu hayo.
Katika katiba ijayo kama itaridhiwa tuukatae huu upuuzi. Haina maana sana serikali hiyo hiyo inayofanya madudu ndiyo ati isomewe report.
Nashauri marekebisho yafanyike na CAG awe anachukua hatua stahiki mara moja na kuketa taarifa ya hatua zilizochukuliwa ili mzigo uwe wa CAG na si kwa mtuhumiwa wa wizi.
Huu mchezo ndo unatufanya tume gota kwenye cycle.
Ni sawaUkisha sema what if inageuka theory aka mawazo ya kusadikika
CAG kama mkaguzi mkuu wa serikal anafanya kazi yake kikatiba, we unasema yoko dramatic? He is doing his job
Hakuna maana yoyote na wala haileti mantiki CAG kuisomea report serikali wakati ndo mtuhumiwa mkuu wa madudu hayo.
Katika katiba ijayo kama itaridhiwa tuukatae huu upuuzi. Haina maana sana serikali hiyo hiyo inayofanya madudu ndiyo ati isomewe report.
Nashauri marekebisho yafanyike na CAG awe anachukua hatua stahiki mara moja na kuketa taarifa ya hatua zilizochukuliwa ili mzigo uwe wa CAG na si kwa mtuhumiwa wa wizi.
Huu mchezo ndo unatufanya tume gota kwenye cycle.
Ni kweli, Kenya wao yule CAG wao huwa anaita waandisha wa habari na kutoa report yake basi, sasa Tanzania huu ni usanii mtupuHakuna maana yoyote na wala haileti mantiki CAG kuisomea report serikali wakati ndo mtuhumiwa mkuu wa madudu hayo.
Katika katiba ijayo kama itaridhiwa tuukatae huu upuuzi. Haina maana sana serikali hiyo hiyo inayofanya madudu ndiyo ati isomewe report.
Nashauri marekebisho yafanyike na CAG awe anachukua hatua stahiki mara moja na kuketa taarifa ya hatua zilizochukuliwa ili mzigo uwe wa CAG na si kwa mtuhumiwa wa wizi.
Huu mchezo ndo unatufanya tume gota kwenye cycle.
CAG kazi yake nu ku audit tu mkuu, sasa kama report zake hazifanyiwi kazi hilo sio kosa lake. Kumbuka pia hizi report huwa zinaenda IMF na World Bank na kwingineko. Kama Serikali haichukui maamuzi vipi nyie raiaBinafsi sioni maana ya uwepo wa CAG. Ni kwakuwa tu CAG anatambulika kikatiba.
Ukiona fedha ya umma imeliwa, ujue kuna mkono mreefu sana, sio tu mtu mmoja amejiamulia kula!
Sio rahisi individual kula pesa ya umma kwakuwa fedha ya umma mpaka inatoka ujue imepitia mikono mingi sana, tena mingine inajiridhisha (due deligence)
Ili CAG awe na nguvu zaidi, kwanza wao wenyewe wapunguze njaa! vinginevyo itakuwa unafiki mtupu.
Kama CAG anafanya kazi, na report zake hazifanyiwi kazi, maan yake ni nini? kwaiyo anatumia fedha za kuendesha ofisi yake bure??CAG kazi yake nu ku audit tu mkuu, sasa kama report zake hazifanyiwi kazi hilo sio kosa lake. Kumbuka pia hizi report huwa zinaenda IMF na World Bank na kwingineko. Kama Serikali haichukui maamuzi vipi nyie raia
CCM HAITAKI KATIBA MPYA WANAJUA WANANCHI WATAFUTA MAMBO MENGI YA KIJINGA YALIYOMO KWENYE KATIBA ILIYOPOHakuna maana yoyote na wala haileti mantiki CAG kuisomea report serikali wakati ndo mtuhumiwa mkuu wa madudu hayo.