Katiba mpya iongeze Mamlaka ya Kamati Kuu ya Chama

Katiba mpya iongeze Mamlaka ya Kamati Kuu ya Chama

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Ili kudhibiti wanaotaka kupingana na maamuzi ya Chama kilichokupa dhamana ya uongozi. Katiba mpya iseme wazi kuwa KAMATI KUU ndio kiwe chombo cha juu kabisa cha kudhibiti wakaidi
 
Ili kudhibiti wanaotaka kupingana na maamuzi ya Chama kilichokupa dhamana ya uongozi. Katiba mpya iseme wazi kuwa KAMATI KUU ndio kiwe chombo cha juu kabisa cha kudhibiti wakaidi
Haya mambo ya chama chenu cha mambuzz mnatakiwa kuyajadili kwenye vikao vyenu vya ndani.
Kuyaleta humu jukwaani, ni sawa tu na kuwakosea adabu mamilioni ya wananchi wasiohusika kabisa na hicho chama chenu.

Na kama utakuwa unaiongelea Katiba mpya ya wananchi, basi unatakiwa kupimwa akili. Maana haina kabisa uhusiano na hiyo takataka yenu.
 
@Tate Mkuu, umempa za uso, mambo yao ya mambuzi, wayamalizie huko kwenye zizi lao, sio humu
 
Ili kudhibiti wanaotaka kupingana na maamuzi ya Chama kilichokupa dhamana ya uongozi. Katiba mpya iseme wazi kuwa KAMATI KUU ndio kiwe chombo cha juu kabisa cha kudhibiti wakaidi
I say, humu JF kuna watu nadhani hata shule mlikimbia. Yaani wewe huelewi hata kwamba mambo ya vyama hayaingii kwenye Katiba ya Tanzania tuanze kukufahamisha hilo? Halafu utakuta watu kama nyie ndio mnakuwa wabishi kweli kwa thread zinazoanzishwa na maprofesa humu JF hadi mnafanya watu kuacha kuwa active JF mnawaboa na poin zenu

Yaani hii thread yako inakutia mno aibu, afadhali uchafue hewa mbele ya mkwe wako kuliko kutoa thread kama hii. Ongeza elimu kijana uelewe mambo ya dunia
 
Ma-snitch wabanwe mpaka wanyooke
 
Ili kudhibiti wanaotaka kupingana na maamuzi ya Chama kilichokupa dhamana ya uongozi. Katiba mpya iseme wazi kuwa KAMATI KUU ndio kiwe chombo cha juu kabisa cha kudhibiti wakaidi
Na wewe unaitaka katiba mpya? Sasa kumbe huwa unajificha kumbe una jambo lako?
 
Biashara ya kununua wanasiasa

Dar es salaam leo tarehe
05 Februari 2023
Dkt. Philip Isdor Mpango akimkabidhi kadi ya Chama Cha Mapinduzi aliyekuwa Mtia nia wa Nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

alternative

Mjumbe wa Kamati kuu ya Halmshauri kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akimkabidhi kadi ya Chama Cha Mapinduzi aliyekuwa Mtia nia wa Nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mwaka 2020 Dkt. Maryrose Majinge mara baada ya kurejea CCM akiwa ni Miongoni mwa wanachama wapya 580 walikabidhiwa kadi hizo katika Maadhimisho ya Miaka 46 ya CCM Mkoa wa Dar es salaam leo tarehe 05 Februari 2023 katika Viwanja vya Mnazi Mmoja.

alternative
alternative

Habari Nyingine
 
Back
Top Bottom