Katiba mpya iruhusu kukodisha viongozi wa selikali toka nchi zingine

Katiba mpya iruhusu kukodisha viongozi wa selikali toka nchi zingine

Salathiel m.

Senior Member
Joined
Mar 12, 2011
Posts
185
Reaction score
41
Kutokana na madudu yanayofanywa na baadhi ya viongozi waandamizi selikalini,katiba mpya inayoendelea na mchakato wam kuandaliwa ingeruhusu kukodisha viongozi toka nchi za nje viongozi kama Rais,waziri mkuu na mawaziri wa wizara mbalimbali kama NISHATI NA MADINI.Hata wakurugenzi mbalimbali. hii italeta maendeleo ya fasta na ndio maana Kagame na Museveni walisema wapewe Tanzania miaka 2 tu alafu muone. mbona Museveni anamtumia Prof LIPUMBA?

Ni mtazamo tu!
 
Naunga mkono hoja. Kama tulivyofanya kwa kumleta Maximo soka likapata hamasa. Tungemchukua Bill Clinton for a while

By the way, Lipumba hakukodiwa kama kiongozi bali aliajiriwa kama mtumishi katika ushauri. Kwa uongozi hafai yule, tena hovyo kabisa
 
Lipumba nimemtolea mf tu kama kiongoz wa siasa kwenda kufanya kaz nchi ingine
 
Back
Top Bottom