1.Napendekeza katiba iliruhusu kuanzisha makapuni binafsi ya Upelelezi(private investigation company).Upelelezi wa sasa unaegemea upande moja wa polisi hivyo kuchelewasha upelelezi au kutoa taarifa zisizo na uwiano.Mtuhumiwa aruhusiwe kuweka wapelelezi wake watakao msaidia wakili wake kujua ukweli wa tuhuma zake.
2.Tume ya uchaguzi iwe na wajumbe mchanganyiko kutoka vyama vyenye usajili wa kudumu ili kuongeza uwazi.
3.Pia tuwe na shirika la usalama na masilahi ya taifa ambalo lazimbe wajumbe wawe na itikadi za kitanzania(Utaifa) wapewe mamlaka ya kumhoji mtu yeyote hata rais kwa masilahi ya nchi.kufanya screening kwa watu wanaoomba kuwa viongozi ili kuepusha nchi kuongozwa na mamuruki.Mkurugezi pamoja na wajumbe waombe kazi hiyo kupitia kamati ya bunge ya ulinzi na usalama na majina yatakoyo pendekezwa na kamati yapigiwe kura kila mmoja na wabunge wote.
4.Katiba iorozeshe rasilimali hizi kama uti wa mgongo wa Nchi hivyo kila utawala utakao tawala uchague rasilimali mbili tu za kuziendeleza bila kugusa zilizongine na mwisho wa kila mwaka mmoja kutoa mchanganuo wa maendelezo waliofanya kama kuna uzembe watawala wafikishwe mahakamni
1.watu na elimu
2.madini
3.aridhi na majengo
4.gesi
5.maji na vilivyomo
6.kilimo na .mifugo
7.mistu na utalii
5.katiba imtake kila mtu mwenye umri wa miaka 18 kufanya kazi ya kuzalisha mali kwa kutumia rasilimali hapo juu
Mbogolo Mlekwa 0784871549