chishango
JF-Expert Member
- Feb 20, 2009
- 854
- 362
wadau napendekeza katiba mpya itupe haki sisi watumishi wa serikali tunaoipenda CDM fursa ya kugombea vyeo vya kisiasa kama udiwani na ubunge bila kulazimika kuacha kazi ....wapenda mabadiliko tupo pamoja tutaihujumu hii serikali ya ccm hadi ifutike kwenye ramani ya nchi hii