mashakaDaima
Member
- May 3, 2013
- 38
- 5
mchakato wa katiba uliokuwa ukiendeshwa na tume ya katiba nchi nzima unategemewa kutoa suluhisho juu ya maoni mbalimbali yaliyokuwa yakitolewa na wananchi mbalimbali ili kwamba yale yatakayoamliwa yaendane na matwaka ya wananchi na si kwa viongozi peke yao. Ktiba mpya iwe ni kwa ajili ya kuijenga nchi na kwa maendeleo ya wananchi wote!