Katiba mpya iwe na ukomo wa Kuoa na Kuolewa

Katiba mpya iwe na ukomo wa Kuoa na Kuolewa

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mmoja wa wachangiaji katika Kongamano la Katiba lilioendeshwa na Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA) mwishoni mwa wiki mkoani Katavi amedai:

"Kama katiba inatambua umri wa mtu kuoa na kuolewa kwamba miaka 14 kwa miaka 18, basi iwekwe ukomo kwa mtu kuolewa na kuoa kwasababu tumekuwa na taifa lenye vijana wa kiume, wengi wanakwepa majukumu, hawataki kuoa ila wanazalisha watoto wa watu"
Soma, Pia:
+ Shehe Bombo: Dira Ya Taifa 2050 Iweke Ukomo wa Umri wa Kijana Kuoa na Kuolewa
+ Sheria inakataza kuoa au kuolewa na x wa baba au mama yako
 
kwamba akifika miaka 40 asioe tena wala kuolewa tena?
 
Back
Top Bottom