meidimu sirkon
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 202
- 37
Napendekeza kuwa Katiba mpya iwe na kifungu cha kujisimamia kama Katiba ili kutoa adhabu kwa viongozi na watawala wanaounja katiba waziwazi na hili liwezekane kuunda jopo la Katiba kutoka Kanda kuu za Tz yaani Kaskazini, Kusini Magharibi, Pwani, Kanda ya ziwa na kati ya nchi jumla yao iwe watano (5)