Katiba mpya iweke wazi msimamo wa mashoga Tanzania!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kama Uganda wameweza,kwanini Tanzania tusiweze bunge la katiba limeanza.

Tunaomba wanabunge mtuweke wazi msimamo wa mashoga nchini mwetu.

Wengi wanateseka lakini tukiwa na sheria imara upumbavu wa mashoga autakuwepo Tanzania.

Jana waziri mmoja wa Uganda ameweka wazi kama uhusiano kuvunjika na Marekani na uvunjike, akasema huyo rais mbona awamrukii ukuta iweje anataka watoto wetu warukiwe ukuta.

Tulicheka lakini mbunge huyu alisema kwa hasira sana.
 
Hapa ishapitishwa kimya kimya maana hata mashoga hawachukuliwi hatua
 

Kwanza katiba iwe kali kwa majambazi,serikali fisadi kama ya ccm,wala rushwa kama ccm,wezi kama ccm wanaosabisha maisha kuwa magumu mpaka dada na baadhi ya wanaume wanaamua kuuza miili yao bila kupenda.
 
waganda wenyewe wameanza kupigwa mkwara na magharibi wamepata kigugumizi kupitisha
 
Hilo siyo suala la kuweka kwenye katiba. Ni la kutungia sheria tu na ipo sheria inayokataza ushoga Tanzania ila utekelezaji haufuatiliwi na vyombo husika kama ilivyo kwa sheria nyingi Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…