Maboso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 5,164
- 5,762
Katika moja ya pitapita zangu kwenye social networks nimekutana na hii post ambayo kwa hakika imenikosha sana. Hiki alichokiongea huyu mdau kwa kiasi kikubwa kina ukweli ambao tulio wengi tumeufumbia macho.
Hapa chini ni michango ya followers wake
Anonymous 1
Anonymous 2
Anonymous 3
Anonymous 4
Anonymous 5
Anonymous 6
Anonymous 7
Anonymous 8
Anonymous 9
Hapa chini ni michango ya followers wake
Anonymous 1
Economist anataka avunje record Na aingizwe kwenye kitabu cha maajabu ya dunia ...one of his dreams (nawaza)
Anonymous 2
Wanaongelea demokrasia lakn hatuon waktenda kwenye chama hvyo je wakpata urais nna mashaka sana ina maana hakuna mtu mweny cfa kwao je wakpata watatoa wap wa kusaidiana kuendesha nch dah huu wimbo mtamu sana acha niendelee kujiimbia mie
Anonymous 3
Ufalme au Udikteta, ukiona kiongozi anaehubiri demokrasia, na demokrasia anaimeza... ni hatari sana, wasituletee sababu za kuchaguliwa na chama kwa kura, hiyo ni formality tu, kuwahaada watu waone kuna demokrasia ndani ya vyama, toka mtu upo primary, secondary, chuo kikuu, kazini kwenye chama Mtu ni huyo huyo, ndio kusema kwenye ivi vyama hamna wasomi, ndio kutia shaka...
Anonymous 4
vyeti vyao vya kuzaliwa vya wenzio vimeandikwa hivyo vyeo, mpaka kifo sijui ndio kitawatenganisha au la.
Anonymous 5
kama mugabe tu, uchaguzi ni formality na hadaa ndani ya vyama vyao.
Anonymous 6
Nyakati zinakuja, watanzania waachane na ukiritimba... tunataka chama cha watanzania, sio chama na "Fulani", hii ni zaidi ya haki miliki
Anonymous 7
wa hao wanasiasa wetuinapofika kwenye fundo la wao kuwajibika, Basi neno demokrasia humaanisha 'mimi tuuu'
Anonymous 8
inabidi ifike sehemu, sisi wenyewe vijana wasomi tuseme basi kwa kauli mmoja, viini macho nchi hii haviishi, ukiona Rais anampa kiongozi mkubwa kabisa wa UPINZANI, UBUNGE, tena KITI MAALUM anachotaka WEMA, ujue ni TUSI, kubwa sana kwa wananchi, maana kadharau na kaona hamna upinzani nchini bali ni njaa, kaamua kusaidia maisha ya kiongozi wa chama cha upinzani, unadhani atajaribu kukosoa lolote linalomgusa Rais kwa lolote? atadeal na hawa wa chini, Rotten Opposition parties, ni majina tu yanatembea... hakuna dhamira ya kweli. Namshukuru sana Mh. Kikwete kwa kutufungua macho, Mungu ampe maisha marefu...
Anonymous 9
Wasomi c ndo hao wanaongelewa alaf wanaenda kuandamana badala ya kupma eti ksa kasema prof sasa cjui research walfanya za nn me napata tabu na wasomi wa dzain hyo cjui nan kairoga t.z yetu tumpe tuzo loh