Sipendi Ubepari
JF-Expert Member
- Jan 12, 2012
- 249
- 40
ITV leo imemwonesha m/kiti wa Jukwaa la Katiba Bw.Deus Kibamba akidai kuwa kamwe kwa hali iliyopo hatutaipata katiba mpya 2014. Na kuwa utawala haujaliweka bayana hilo. MADHARA YAKE NI VITA IWAPO WANANCHI WATAAMBIWA HILO DAKIKA ZA MWISHO KUKARIBIA 2015. Je! Utawala unafanya hivyo makusudi kwa maslahi ya ccm?. Je! KIKWETE anadhamira ya kweli ya kuleta katiba mpya Tanzania?. KARIBU KWA MICHANGO