Sipendi Ubepari
JF-Expert Member
- Jan 12, 2012
- 249
- 40
aiseeeeeee ndugu yangu hapa damu itamwangika mimi mwenyewe nitamwaga damu ya mtu
aiseeeeeee ndugu yangu hapa damu itamwangika mimi mwenyewe nitamwaga damu ya mtu
Utamwaga Damu humu Janvini? Wabongo tulivyo waoga, hata wakenya wanajua tulivyo waoga
Hapo hatoki mtu, lazima ccm waondoke hata kwa manati
Uvumilivu unakikomo ndugu yangu. Hapo ndipo umma utakapotoa hukumu kwa watawala
Nchi hii ni ya Ajabu kabisa ... Issue ya muhimu kwa mustakabali wa nchi inaendeshwa kinyemela bila time flame na watu wako kimya... Wakiwa masikini wanalalamika ... Mtapataje utaratibu kama Hamna katiba ya maana ? Kazi kushanikia Mambo ya kijinga ... Ohoooo Kinana ? Ohoo Mangula ohoo Membe Ohoo lowasa ujinga mtupu..
Kama hatutaweka utaratibu Mzuri wa kuongoza nchi kuanzia mamlaka ya Raisi, mgawanyo wa madaraka,tume huru ya uchaguzi nk tutaishia kuibiwa rasilimali Zetu mpaka tuchakae...
Tubadilike... CCM haitaki mabadiliko ya katiba. Period

Huu ni mwanya wa kusogeza uchaguzi mkuu ujao beyond 2015 kwa hoja ambazo zitashinda; Nani atafaidika? It will remain to be seen;
Mabadiliko ya Katiba hayakuwa katika ilani ya uchaguzi ya ccm. Yalikuwa yapo katika ilani ya Chadema. Nisera iliyoasisiwa na CDM. Kwa vyoyote vile dola haipendi kabisa kitu hicho. Kumbuka kauli ya Celina Kombani na Jaji Werema! Kumbuka JK alivyolidaka na kujaribu kulikimbiza harakaharaka ili tupate kitu feki! Mabadiliko katika nchi hii hayawezekani bila Katiba mpya. Ni interest ya watawala kuwa katiba isibadilike positive sana kwani inaweka system yao mashakani. Na ikibaki kama ilivyo inahakikishia ccm ushindi 2015. Kwao ni vizuri uchaguzi ufanyike kwa hii ya kale na mchakato uendelee baada ya uchaguzi.
ITV leo imemwonesha m/kiti wa Jukwaa la Katiba Bw.Deus Kibamba akidai kuwa kamwe kwa hali iliyopo hatutaipata katiba mpya 2014. Na kuwa utawala haujaliweka bayana hilo. MADHARA YAKE NI VITA IWAPO WANANCHI WATAAMBIWA HILO DAKIKA ZA MWISHO KUKARIBIA 2015. Je! Utawala unafanya hivyo makusudi kwa maslahi ya ccm?. Je! KIKWETE anadhamira ya kweli ya kuleta katiba mpya Tanzania?. KARIBU KWA MICHANGO
Hatuna haja ya kumwaga damu sababu ndio tutaongeza UADUI na UMASIKINI maan kila mtu atataka kulipiza kisasi kwa yeyote aliekuwa karibu yake na kuuawa.
Tujifunze Kenya,na nchi nyingine mapigano si sawa wataokufa ni MASIKINI maana likianza tu MATAJIRI hao nje ya nchi,viongozi huwa hawafi kwenye machafukooo.