Katiba mpya kwa watz itatufikisha walipofika wakenya?

Katiba mpya kwa watz itatufikisha walipofika wakenya?

RUV ACTVIST.

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2012
Posts
472
Reaction score
111
Nimependa hii ya Rais kupendekeza majina ya Mawaziri then kufanyiwa uchunguzi na Bunge, wasiofaa kutupwa, hii inazuia Rais kuwaweka shangazi zake na wapenzi wake,.... Je tutafika huko?
 
Back
Top Bottom