RUV ACTVIST. JF-Expert Member Joined Jan 14, 2012 Posts 472 Reaction score 111 Apr 26, 2013 #1 Nimependa hii ya Rais kupendekeza majina ya Mawaziri then kufanyiwa uchunguzi na Bunge, wasiofaa kutupwa, hii inazuia Rais kuwaweka shangazi zake na wapenzi wake,.... Je tutafika huko?
Nimependa hii ya Rais kupendekeza majina ya Mawaziri then kufanyiwa uchunguzi na Bunge, wasiofaa kutupwa, hii inazuia Rais kuwaweka shangazi zake na wapenzi wake,.... Je tutafika huko?