Miwatamu
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 1,450
- 489
Ukijaribu kufuatilia kwa karibu usanii unaofanywa na CCM kwa kujaribu kuongeza chapuo la kura kwa kupitia asasi zake, utagundua kuwa kelele zote za kutaka serikali mbili ziendelee kuwepo si kwa maslahi ya watanzania, bali limesimamia maslahi ya Viongozi pekee na chama chao.
Kwa hiyo kwa picha nyingine wanachi tusije tukaingizwa mtegoni kuwa waliotoa maoni ya kutaka serikali mbili ni wengi bali ni CCM ile ile ambayo imeamua kujitawanya kwa kujigawagawa makundi ili ionekane kuwa hoja yao imeungwa mkono na watu wengi! Ndiyo maana nasema kuwa hata sisi hatukutarajia kupata kauli mpya kutoka kwa viongozi hao wa Mikoa na Wilaya ukizingatia kuwa uwepo wa wengi wao ni mzigo tu kwa walipa kodi.
TAFAKARI