johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nawakumbusha tu Chadema kwamba mnapodai Katiba mpya maana yake mnahitaji serikali tatu.
Vinginevyo mambo mengine yanaweza kuingizwa tu katika katiba hii ya sasa kwa kuifanyia ammendments.
CCM haina sera ya serikali tatu hivyo siyo rahisi mwenyekiti wa CCM kuruhusu mchakato wa katiba mpya.
Nawashauri Chadema wadai Tume Huru ya Uchaguzi labda inaweza kuingizwa kwa kung'ang'aniza kwenye katiba ya sasa.
Nawasalimu kwa jina la JMT!