johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni heri ndugu zetu chadema mpiganie kudai tume huru ya uchaguzi, lakini hapo kwenye kupata katiba mpya pagumu.Nawakumbusha tu Chadema kwamba mnapodai Katiba mpya maana yake mnahitaji serikali tatu.
Vinginevyo mambo mengine yanaweza kuingizwa tu katika katiba hii ya sasa kwa kuifanyia ammendments.
CCM haina sera ya serikali tatu hivyo siyo rahisi mwenyekiti wa CCM kuruhusu mchakato wa katiba mpya.
Nawashauri Chadema wadai Tume Huru ya Uchaguzi labda inaweza kuingizwa kwa kung'ang'aniza kwenye katiba ya sasa.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Tanganyika ndio nini bwashee?!Zanzibar wanakatiba ,Tanganyika hakuna katiba ,jamhuri inaungwaje hivo hua najiuliza marazote cpati jibu
Kesho nitakuelewesha ila nilitaka kufahamu,Zanzibar wanakatiba yao ,Tanzania bara hawana katiba(Tanganyika)..muungano wao nikati ya nani naniTanganyika ndio nini bwashee?!