Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,446
- 1,645
Sawa hata mkiamua na MAVI kuteuliwa sawaHabari Tanzania !.
Eti watanzania mnaonaje mtakapo fanya mabadiliko ya Katiba Mpya; Diwani awe na sifa ya kuteuliwa kuwa Waziri ili achangie maendeleo yetu kwenye Taifa.
Asante.
sawa muheshimiwa diwaniHabari Tanzania !.
Eti watanzania mnaonaje mtakapo fanya mabadiliko ya Katiba Mpya; Diwani awe na sifa ya kuteuliwa kuwa Waziri ili achangie maendeleo yetu kwenye Taifa.
Asante.
Hivi rais Dennis Robert Shughuru alipotelea wapi au keshalamba teuziKisa juzi kati umechaguliwa kuwa diwani wa kata ya malampaka (Simiyu) leo umeshaanza kuhangaikia uteuzi!
Dunia Ina mambo/world has things.
Al Mukheef
Muache muheshimiwa diwani waziri mkuu mtarajiwaKisa juzi kati umechaguliwa kuwa diwani wa kata ya malampaka (Simiyu) leo umeshaanza kuhangaikia uteuzi!
Dunia Ina mambo/world has things.
Al Mukheef
Atakuwa ameshalamba uteuzi.Hivi rais Dennis Robert Shughuru alipotelea wapi au keshalamba teuzi
Nimemwacha mkuu.Muache muheshimiwa diwani waziri mkuu mtarajiwa
Mimi naona hata mabalozi wa nyumba kumi wanafaa kuwa makamo wa Rais yaani wateuliwe kuwa makamo wa Rais huku wakiendelea na ubalozi wao wa nyumba kumiNimemwacha mkuu.
Hata mimi naona vivyo hivyo mkuu.Mimi naona hata mabalozi wa nyumba kumi wanafaa kuwa makamo wa Rais yaani wateuliwe kuwa makamo wa Rais huku wakiendelea na ubalozi wao wa nyumba kumi
Rais wa TFF ateuliwe pia kuwa Rais wa FIFA itasaidia kukuza maendeleo ya soka duniani hususani kwa nchi za UlayaHata mimi naona vivyo hivyo mkuu.
Naunga mkono hoja 😎.Rais wa TFF ateuliwe pia kuwa Rais wa FIFA itasaidia kukuza maendeleo ya soka duniani hususani kwa nchi za Ulaya
Kwani sifa ya Mtu kuwa Rais wa Fifa ni upi!?. Mnajua visivyo vya maana.Rais wa TFF ateuliwe pia kuwa Rais wa FIFA itasaidia kukuza maendeleo ya soka duniani hususani kwa nchi za Ulaya
Ubunge ufutwe. Hii ndio maana ya hoja yangu kwa ndani sana.Wakati watu wengi wanapendekeza hata wabunge wasiwe mawaziri, wewe unataka madiwani wawe mawaziri
Kichwa kimoja kofia moja. Mbuge asiwe WaziriHabari Tanzania !.
Eti watanzania mnaonaje mtakapo fanya mabadiliko ya Katiba Mpya; Diwani awe na sifa ya kuteuliwa kuwa Waziri ili achangie maendeleo yetu kwenye Taifa.
NB
Mkumbuke katika Mfumo uliopo nchini wa kisiasa; mwenye kujua changamoto za wananchi ni Diwani pia ndio mtu pekee mwenye matokeo ya kuonekana moja kwa moja kwa wananchi. Duniani huko Diwani ana nguvu kubwa kuliko Mbunge ndio maana hapa nchini kwenye Baraza la Madiwani eti tunampa hadhi Mbunge naye kuwa diwani huu ni uhuni wakubwa.
2. Wambunge watokane na Udiwani na sio ilivyo sasa.
Asante.
Iwe hivi: waziri awe mtu yoyote ila asiwe mbunge au asiwe amechaguliwa kwenye nafasi nyingine, na iwapo itakkuwa amechaguliwa basi ajiuzulu.Habari Tanzania !.
Eti watanzania mnaonaje mtakapo fanya mabadiliko ya Katiba Mpya; Diwani awe na sifa ya kuteuliwa kuwa Waziri ili achangie maendeleo yetu kwenye Taifa.
NB
Mkumbuke katika Mfumo uliopo nchini wa kisiasa; mwenye kujua changamoto za wananchi ni Diwani pia ndio mtu pekee mwenye matokeo ya kuonekana moja kwa moja kwa wananchi. Duniani huko Diwani ana nguvu kubwa kuliko Mbunge ndio maana hapa nchini kwenye Baraza la Madiwani eti tunampa hadhi Mbunge naye kuwa diwani huu ni uhuni wakubwa.
2. Wambunge watokane na Udiwani na sio ilivyo sasa.
Asante.
Duh! Haya!Ubunge ufutwe. Hii ndio maana ya hoja yangu kwa ndani sana.
Kiundani hamna kitu pale. Ila ndio vile raia wanaona kubwa kubwa hivi.Duh! Haya!