Tunataka katiba mpya itakayookoa pesa za wananchi kutowahudumia wastaafu mpaka kufa kwao na badala yake wapewe pension maalum kwa wakati mmoja pindi wanapostaafu, kama jinsi ilivyo kwa wabunge wanapostaafu hupewa mil 40 na kuishi kivyake, HIVYO HIVYO KWA MARAIS WASTAAFU,MAKAMO NA MAWAZIRI WAKUU WAKIISTAFU WAPEWE CHAO KAMA NI MIL 100 AU MIL 50 WAISHI KIVYAO BILA KUITEGEMEA TENA SERIKALI KUENDESHA MAISHA YAO.tuwaonee wananchi huruma na tuwe wazalendo.