Katiba mpya marufuku watoto wa Vigogo wastaafu kugombea nyadhifa serikalini.

Katiba mpya marufuku watoto wa Vigogo wastaafu kugombea nyadhifa serikalini.

JIULIZE KWANZA

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
2,569
Reaction score
500
Wadau.
Napendekeza kwenye katiba mpya isiruhusu watoto wa Viongozi wastaafu hususani mawazori na rais waruhusiwe kugombea kikatiba ili kuepuka ukiritimba wa kuridhishana nyadhifa serikalini Kama ambavyo tuonavo sasa watoto wa Vigogo kuwekwa kwenye nafasi nyeti bila kujali ufanisi na uwezo wao kikazi.

Tujadili na sio kurushiana mapovo.

Nawasilisha
Nakala kwa.
Ritz & Co-
 
Hilo haliwezekani hata kidogo there is what is called human right,hata hao mashoga wenyewe wanadai haki zao sembuse hilo watoto wa vigogo kinachotakiwa ni kukidhi vigezo na matakwa yanayostahili.
 
Back
Top Bottom