TAMKO
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 1,090
- 763
Nikiwa Kwenye harakati Za kupangua foleni kuwahi pahala nikakatiza Mtaa mmoja wa Donga maeneo ya Mwananyamala nikakumbana Na Kundi la Kinamama wakichomozea barabarani Na Mabango Yao.. Nchi hii siku hizi kila kitu watu wanaandamana sijui wameshagundua hapana wa kuwasikiliza! ! "tunadai.. Haki zetu!!" ndio wimbo wa maandamano yao. Kwa haraka nilivyosoma mabango Ni Kama kuna kipande Cha mjibaba umebaka mtoto wa miaka minne.. Anyway wanaojua zaidi kisa hiki mtatueleza humu jamvini..
But seriously I was thinking, Je wabakaji wa stashahada Kama hizi Ni Haki wakifungwa gerezani miaka 30, wakila Na kutunzwa Na Fedha Za walipakodi(walobakwa) au Kile kifanyio kikatwe Na aachiwe free kusogeza maisha Yake akilijenga Taifa..
Nawaza tu Kwa Sauti Kwamba Kule Gerezani kifanyio chake(uume) hauta tumika Ni sawa Na ukiondolewa kisha akatazama mustakabali wa mipango Yake mingine ya Maisha..
Nadhani tutafakari hili tuwasaidie jamaazetu ambao Eti j4 next week wanaanza kuongelea mavitusampuli hii sisi tuanzie hapa, Kwenye Bunge la "Fedha posho laki saba" no! no KATIBA