Katiba mpya na huru shakani

mkuu hiyo katiba unayoitaka waliosigina tunao ndani ya chama chetu tutapoteza ujasiri wa kuipagania kama linavyotukaba koo jinamizi la kutamka neno ufisadi!

Si huyo wa ccm anayesema kwenye kampeni zake hakuongelea katiba mpya

Hivi katiba mpya kumbe ni utashi wa yule mizizi yake imejichimbia chini zaidi? Au haki ya kimsingi kwa watanzania?
 
tulianza mchakato wa katiba CCM wakauteka.lakini ipo siku itapatikana
Tutaishia kusema iko siku tutaipata! We have to act on it, isitoshe hata Mungu husaidia wajisaidiao .( GOD HELP THOSE WHO HELP THEMSELVES). Uoga wetu bila kuuweka chini na kuuvaa ujasiri KATIBA YA WARIOBA haitapatikana na hakika hatuwatendei haki watoto wetu.
 
kwani wenye shida na katiba mpya ni upinzani au sisi wananchi?katiba mpya ni faida kwetu wananchi au upinzani?sisi wananchi nadhani ndio tunatakiwa tuidai katiba mpya.
kwani upinzani tumeuajiri
Hapa kusudi lako sjalijua, ebu toa njiamama hanazoweza kutumia mwanachi kudai katiba.
 
Mkuu
Mkuu Kuna vitukwa sasa Tanzania havikwepeki ikiwa hatutapata kwa kuomba basi tupate kwa kukwapua..haki juwa haiombwi inadaiwa na kudai kunatumia nguvu na muda...na hizo cost zake zinaweza kuwa hadi uhai WA mtu

Mkuu;
Naona bado mnazidi kunichanganya. Mnatumia misamiati migumu mimi kuielewa. Ati tu kwapue, tudai kwa kutumia nguvu, itatu cost hadi uhai wa mtu. Hivi vyote mkuu vinanichanganya kabisa. Si uwe muwazi tu??
 
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuidai katiba mpya mitandaoni ndo tutaipata? mbinu zipi zitumike kuipata kapata katiba mpya?
 
Kuna yule kalamaganda kabudi na longo longo lake refuuu lakini hakuna cha maana anachoongea zaidi ya kujikanyaga kanyaga.

Mkuu naona unatutega..milioni Saba sina
Mkuu;
Naona bado mnazidi kunichanganya. Mnatumia misamiati migumu mimi kuielewa. Ati tu kwapue, tudai kwa kutumia nguvu, itatu cost hadi uhai wa mtu. Hivi vyote mkuu vinanichanganya kabisa. Si uwe muwazi tu??
 
Mkuu naona unatutega..milioni Saba sina

Avatar yako inajieleza vizuri tu. Ukikaa kimya hakika utakufa kwani ni hakika; Silent kills. Sasa, usiogope wapo wanasheria watakutetea tu tena bure. Sema lililo moyoni ili watu wapone.
 
Avatar yako inajieleza vizuri tu. Ukikaa kimya hakika utakufa kwani ni hakika; Silent kills. Sasa, usiogope wapo wanasheria watakutetea tu tena bure. Sema lililo moyoni ili watu wapone.
Hahaha mkuu huo mtego WA ndege...unamrushia pumba umle Nyama..wanasheria wapo ILA sins hela ya kuwalipa mil 7sio mchezo kwa usawa huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…