Katiba mpya na taifa jipya

kalcha

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
79
Reaction score
12
LNaNashawishika kuona nchi yetu inabadilika kwenye mindset za wananchi. Tuanze nchi mpya kabisa kuanzia jina, mpaka, Wimbo wa taifa, na katiba. Tumekuwa wanafiki toka tulivyoungana na Zanzibar, muungano wa kinafiki umepelekea utendaji wakinafiki uliosababisha ulafi,ufisadi na ubinafsi. Haya yanatufanya tusijali maslahi ya jamii na kutuondelea uadilifuu.Katiba, ianzena jina la nchi, tukivunja muungano, of course jina na mpaka vitabadilika, tubadili utambulisho wa bendera, n.k.ila kilamile mtu aelewe kwa nini tunabadili nchi, tule viapo vipya, tusameheane makosa, tuanze upya mikataba, mikopo, mipango ya kutekelezeka na utoaji adhabu kali kwa yeyote atakayekutwa na makota ya ubadhilifu na uzembe! Natamani kuona nchi mpya, akili mpya na mipango mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…