Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi sio muhimu sana kwa wana-CHADEMA

Ushindi wa asilimia zaidi 80 kwenye uchaguzi mkuu na wawakilishi wengi bungeni kuliko chama chochote in ishara ya ku kubalika zaidi nchini.
Hakukua na uchaguzi walijitangazia walichokitaka Tume na Polisi
 
Sijui kama unaamini hata moja kwenye hili andiko lako. Ila kama ni ili mkono uende kinywani basi sawa kwani mimi ni nani mpaka nikupinge ili hali hali siwezi kukuweka ndani na kukulisha. Maisha magumu jamani, mtu mpaka anamua kuwa kama huyu mleta mada usifanye mchezo.
 
Katiba ni takwa la wananchi na wàlishakusanya maoni
Yao Kwa kila Kundi ieleweke hivyo kuwa wananchi wanaitaka
Siamini kwamba wananchi wenyewe wangeweza kufanya uana harakati huu bila ya viongozi wa CHADEMA kuhusika. Wana CHADEMA ndio chombo kinacho tumika kudai katiba mpya na tume huru.
 
Changia mada, acha longo longo
 
YANGEKUWA YANAKUBALIKA WASINGEOGOPA TUME HURU NA KATIBA MPYA,WASINGEOGOPA MIKUTANO NA MAKONGAMANO

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…