Bra-joe
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,628
- 1,124
Ccm wamegudua wapo ktk hatari kubwa sana yakuwa chama cha upinzani kwa Cdm in 2015 au 2020. Wanajua fika kuwa katiba iliyopo sasa inawapa wakati mgumu wapinzani kwani chama tawala kinauwezo wa kutumia Polisi, mahakama, tume ya uchaguzi, TRA au asasi zingine za serikali kukandamiza wapinzani. Hivyo pindi ccm watakapokuwa wapinzani ktk katiba mpya hawatakuwa na wakati mgumu kama wapinzani walivyo kwa sasa. Katiba mpya ni uhai kwa ccm, kwani wangepoteza madaraka ktk katiba iliyopo sasa, chama (ccm) kingekufa kabisa kama kile cha Kenya. (kanu)