Tetesi: Katiba mpya ni lazima kumwaga damu ni uamuzi

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Ndugu watanzania tuishinikize ccm na serikali yake kuanzisha mchakato wa katiba mpya kwa hiari na kwa muda huu ambapo bado kuna kizazi cha waoga!

Ccm na serikali yake wasisubiri uoga uwatoke watanzania maana wamewaonea vya kutosha ni bora waondoke kabisa kidemokrasia halali au wabaki kimabavu wakisubiri kuondolewa kwa nguvu!

Watanzania wameichoka ccm na ccm inalazimisha kwamba haijachokwa na watanzania kimsingi Hakuna jambo lolote LA maana ambalo ccm itajivunia mbele ya watanzania wenye akili labda wajinga na wenye upeo mdogo.

Uwepo wa program kama mataga ni ishara kwamba Tanzania ccm imekufa ila dola na ulaghai ndio vinaibeba kwasasa.

Sababu za msingi kwanini watanzania hawaitaki tena ccm.

1.Mauwaji ya watu utekaji na utesaji.
2.Kuminywa kwa demokrasia.
3.Kuwatapeli watumishi wa uma.(meimosi ipo Karibuni tapeli ataongea)
4.Kuharibu uchumi.
5.Kuligawa taifa kwa Hali ya juu toka tupate uhuru mfano(Kupenda upinzani ni usaliti ila kuipenda ccm ni uzalendo)
6.Watu kupoteza ajira hata zile zilizoonekana salama Kama za gvt.(hivi kulikuwa na ulazima gani wa Kuwafukuza madaktari na walimu waliohudumia watu vema ila tu walighushi vyeti kumbuka mfumo wa serikali ndio ulikuwa mbovu ila wao waliwatibu watu wakapona waliwafundisha watoto wakaelewa waliendesha magari ya umma bila ajali sasa mtu Kama huyu unamfukuza kazi wa nini?
7.Tukio la tundu lisu limeingia kwenye rekodi ya uhalifu Tanzania na Lina maswali ambayo serikali haitaki kuyajibu kwasababu ndio iliyohusika maswali kama
A. Nanialinyofoa CCTV kamera
B. Kwanini hawataki kuita wachunguzi huru?

Yani nchi Hii tunaanza kuichukia kwasababu ya ccm huo ndio ukweli.

Ccm iachie nchi kwa amani itaheshimika vinginevyo watakuwa wameamua kumwaga damu ya watanzania kwa makusudi.

Asubuhi njema!!
 
Baba wa taifa Mwl JKNyerere aliwahi kutunga kijitabu na kusema TUJISAHIHISHE na hakujibagua kwa kusema JISAHIHISHENI.Tuanziehapo.
 
Back
Top Bottom