Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Katiba mpya ni sasaKatiba ni muongozo wa kitaifa wa namna maisha ya raia na wanachi wanapaswa kujitawala. Inakuwaje rais Samia anataka kuwa ndiyo msemaji wetu na mtu mwenye kutaka kuamua katiba yetu iwe vipi na ipatikane lini? sipendi kuwa na viongozi wenye mlengo wa kitemi. Aache muda wa sasa utupatie katiba.
#katiba mpya ni sasa
The lost
Asingeupata urais kwa katiba mpya, labda urais kwa serikali ya mpito miezi mitatu, sita.Katiba ni muongozo wa kitaifa wa namna maisha ya raia na wanachi wanapaswa kujitawala. Inakuwaje rais Samia anataka kuwa ndiyo msemaji wetu na mtu mwenye kutaka kuamua katiba yetu iwe vipi na ipatikane lini? sipendi kuwa na viongozi wenye mlengo wa kitemi. Aache muda wa sasa utupatie katiba.
#katiba mpya ni sasa
The lost
Endelea kupiga zogoKatiba ni muongozo wa kitaifa wa namna maisha ya raia na wanachi wanapaswa kujitawala. Inakuwaje rais Samia anataka kuwa ndiyo msemaji wetu na mtu mwenye kutaka kuamua katiba yetu iwe vipi na ipatikane lini? sipendi kuwa na viongozi wenye mlengo wa kitemi. Aache muda wa sasa utupatie katiba.
#katiba mpya ni sasa
The lost
Ripoti ya CAG ndiyo inachochea katiba mpya baada ya kuona wanaccm wanachota matririoni ya kodi za wananchi, CCM inaona nia ovu ya kutaka kuwaondoa kwenye ulaji hivyo watatumia mbinu za mabavu zote kuipinga.Katiba ni muongozo wa kitaifa wa namna maisha ya raia na wanachi wanapaswa kujitawala. Inakuwaje rais Samia anataka kuwa ndiyo msemaji wetu na mtu mwenye kutaka kuamua katiba yetu iwe vipi na ipatikane lini? sipendi kuwa na viongozi wenye mlengo wa kitemi. Aache muda wa sasa utupatie katiba.
#katiba mpya ni sasa
The lost
Katiba mpya sio mzaha au dhihaka.Katiba mpya mbona ipo haijaanza kutumika tu. Iletwe ianze kutumika, bahati mbaya chadema na wenzao walisusa kwenye kuitunga