FIKRA MAKINI
New Member
- Jul 3, 2021
- 3
- 3
Huu ni wakati ambao katiba mpya haikwepeki.
Kutokana na mazingira ya hivi karibuni wahitimu ni wengi kuliko ajira tulizo nazo na CCM imeshindwa kuja na mbinu mbadala ya kukabiliana na wimbi hili.
Lakini pia rasilimali ni nyingi kuliko wahitimu tulio nao kwa maana nyingine vijana tunahaki yakudai katiba mpya na rafiki ili mambo yaweze kwenda sawia.
Tunatembele fikra zilizo zeeka pasipo kuwa na sababu Dunia inabadilika tunahaki ya kubadilika na kuifwata dunia inataka nn? kwa wakati huu wa sasa china walibadili mfumo wao wa elimu na siasa wakapiga hatua.
Hakuna mabadiliko mepesi uote ni mchakato tu,mabadiliko ni lazima kwa sasa na sio ombi