ili nchi iweze kupata mabadiliko makubwa yanoyohitajika, kupata katiba mpya pekee kama suluhisho la mambo yote kwenye nchi haitoshi kama kitu cha kuleta usawa, haki na uwajibikaji bali lazima pia na mamlaka ziache uchawa ili kuruhusu sheria iweze kufanya kazi ipasavyo.
Uchawa kwenye mamlaka unadhoofisha sheria za nchi zisiweze kufanya kazi ipasavyo, zisiweze kuleta haki, zisiweze kuleta uwajibikaji na zisiweze hata kuzuia rushwa n.k