Los técnicos
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 3,031
- 2,668
Hao Wananchi wanaijua vizuri katiba iliyopo? Au tunataka kutumia migongo ya watu wasioelewa katiba iliyopo? Vipi badae wakigundua wametumika?Naunga mkono uwepo wa Katiba mpya ya wananchi. Hii iliyopo ilitengenezwa kwa ajili ya kuifanya Tanzania kuwa Nchi ya chama kimoja! Yaani ccm.
Huku Mwenyekiti wake, ambaye pia huwa Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, katiba hiyo hoyo humpa mamlaka ya Rais Mfalme.
Wananchi siyo mbumbumbu kiasi hicho unachowaza! Ushahidi ni wakati wa Tume ya Katiba ya Jaji Warioba ilipozunguka Nchi nzima kukusanya maoni kwa wananchi!Hao Wananchi wanaijua vizuri katiba iliyopo? Au tunataka kutumia migongo ya watu wasioelewa katiba iliyopo? Vipi badae wakigundua wametumika?
Huu ni wakati muafaka ambao raia wanapaswa kuielewa katiba iliyopo ili inapodaiwa mpya wote tuwe kwenye msitari mmoja.
Nauona ugumu kwenye kudai katiba kwa sababu ni kundi dogo tu lenye uelewa na katiba iliyopo na kundi kubwa halifahamu chochote.
Tukisema tuishie kwenye tafiti za mitandaoni pia tutaishia kupata maoni ya kundi dogo tu lenye access ya mitandao na lile kundi kubwa lisilo na access maoni yao hatutayapata.
Kwa sasa tujikite kwenye kuijua vyema katiba iliyopo kwa sababu kama lingekuwa ni hitaji kubwa la Wananchi wakati wa kampeni Wananchi wangeomba kwa viongozi waliokuwa wananadi sera zao.
Kwanza naweza kusema hawakutoa maoni kuwa wanahitaji katiba mpya, Bali maoni kwakile kilichokuwemo kwenye rasimu.Wananchi siyo mbumbumbu kiasi hicho unachowaza! Ushahidi ni wakati wa Tume ya Katiba ya Jaji Warioba ilipozunguka Nchi nzima kukusanya maoni kwa wananchi!
Wananchi hawa hawa unao wachukulia kama wajinga na wasio na uelewa wowote ule, walitoa maoni yao kwa uwazi! Na ndipo ilipokuja kuzaliwa ile Rasimu ya Katiba, iliyo ishia mikononi mwa wanasiasa kutoka ccm na ukawa.
Binafsi si dhani kama hoja hii ya kwamba pengine ni hoja ya kundi dogo haina mashiko, kwa sababu hata ile ya kwanza haikutengenezwa na watanzania wote, kilikuwa kikundi kidogo zaidi ya hiki unachodhani leo. Na kibaya zaidi kilikuwa ni kikundi ambacho ni homogeneous, watu wenye itikadi moja ya kichama, bunge lenye itikadi moja ya kichama na hata serikali ya chama kimoja. Hivyo hoja yako haina mashiko.Hao Wananchi wanaijua vizuri katiba iliyopo? Au tunataka kutumia migongo ya watu wasioelewa katiba iliyopo? Vipi badae wakigundua wametumika?