katiba mpya:sehemu ya kulipoti na uwajibikaji

katiba mpya:sehemu ya kulipoti na uwajibikaji

evaluator

Senior Member
Joined
Feb 15, 2011
Posts
181
Reaction score
50
-Raisi ateuwe mawazili ila wawe wana report kwa waziri mkuu,pia waziri mkuu awe na mamraka maarumu ya kumfukuza kazi waziri kwa nakara ya mapendekezo ya bunge.

- katibu mkuu kiongozi awe anawajibika kwa bunge.

-etc (ongezea mapendekezo apo)
 
Back
Top Bottom