E evaluator Senior Member Joined Feb 15, 2011 Posts 181 Reaction score 50 Apr 23, 2012 #1 -Raisi ateuwe mawazili ila wawe wana report kwa waziri mkuu,pia waziri mkuu awe na mamraka maarumu ya kumfukuza kazi waziri kwa nakara ya mapendekezo ya bunge. - katibu mkuu kiongozi awe anawajibika kwa bunge. -etc (ongezea mapendekezo apo)
-Raisi ateuwe mawazili ila wawe wana report kwa waziri mkuu,pia waziri mkuu awe na mamraka maarumu ya kumfukuza kazi waziri kwa nakara ya mapendekezo ya bunge. - katibu mkuu kiongozi awe anawajibika kwa bunge. -etc (ongezea mapendekezo apo)