VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Rasimu ya Katiba mpya inayoandaliwa na Tume ya Katiba iliyo chini ya Jaji Joseph Sinde Warioba imeijumuisha Serikali ya Mseto. Mjumbe mmoja wa Tume hiyo ambaye ni Wakili maarufu na Mhadhiri wa Chuo Kikuu hapa nchini amenidokeza kuwa Rasimu hiyo imeijumuisha Serikali ya Mseto ili kuendana na mabadiliko ya siasa za Tanzania.
'Kwa siasa za Tanzania zilivyo sasa,Serikali ya Mseto haiepukiki. Lakini,Rasimu itapitiwa na kujadiliwa tena na tena, na Wajumbe wa Tume,kabla ya kupelekwa Bunge la Katiba na hatimaye kwa wananchi. Nina matumaini kuwa Serikali ya Mseto itabaki hata kwa lugha ngumu za kikatiba.' alisema.
'Kiukweli,hakuna chama cha kisiasa Tanzania kitakachoweza kushinda kwa 'majority' na kuunda Serikali kiurahisi kama ilivyo kwenye Katiba ya sasa. Hapo pana ugumu. Mambo yamebadilika. Ndio maana Rasimu ina Serikali ya Mseto. Ikikubaliwa yatakuwa ni maboresho ya kikatiba ya kupigiwa mfano.' aliongeza 'classmate' wangu huyo
Sijui itakuwaje?!!!
VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa

Last edited by a moderator: