Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Naunga mkono hoja...tumecherewa lakini 'better late than never'!Kwa machozi na damu nchi yetu inahitaji muelekeo mpya. Mwelekeo wa kuwaandaa watu wetu na mabadiriko ya kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Katika ndiyo mwarobaini. Katiba itakayomtambua na kumthamini kila raia, itakayotupa haki ya kuwawajibisha viongozi, itakayoheshimu utu wa raia wote. Wanasiasa hawapaswi kutupangia lini na wapi tunapaswa kupatiwa katiba.
Tuanzie hapa JF hakuna kupost habari yoyote zaidi ya kudai katiba mpya kila uzi mwanzo mwisho ni kudai katiba mpyaHizi kelele za katiba mpya zinapaswa kupigwa bila kukoma, mpaka walioko madarakani wajione kabisa hawana uhalali wa kuongaza nchi. Kwa asili watanzania sio watu wanaoweza kupigania haki zao kwa maandamano kutokana na athari za ujamaa...
Tuanzie hapa JF hakuna kupost habari yoyote zaidi ya kudai katiba mpya kila uzi mwanzo mwisho ni kudai katiba mpya
Huo ni upumbavu wako. Katiba iliyopo bado ni bora kuliko unavyodhani. Sisi kama CCM,katiba mpya siyo agenda yetu kwasasa. Full stop.Kwa machozi na damu nchi yetu inahitaji muelekeo mpya. Mwelekeo wa kuwaandaa watu wetu na mabadiriko ya kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Katika ndiyo mwarobaini. Katiba itakayomtambua na kumthamini kila raia, itakayotupa haki ya kuwawajibisha viongozi, itakayoheshimu utu wa raia wote. Wanasiasa hawapaswi kutupangia lini na wapi tunapaswa kupatiwa katiba.
Ndio maana nakua hivi kwa hizo sheep mental mlizo nazo mtaondoka soon kwaibu kubwa sanaHuo ni upumbavu wako. Katiba iliyopo bado ni bora kuliko unavyodhani. Sisi kama CCM,katiba mpya siyo agenda yetu kwasasa. Full stop.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmerudisha zile billion 30 mlizokula kama posho kwenye bunge la katiba alafu mwishoni mkatoka nje na kwenda kuunda UKAWA?
Tutakuwa na uhakika gani kama hamtakula posho na kutoka nje tena?
CCM sio watanzania wote, kuwa na adabu basi hata kidogo, upumbavu ni kudhani kwamba kila mtanzania anaunazi maandazi wa vyama uchwara!!! Tupo ambao ni free souls, free minded individuals, tukiziangalia siasa za nchi kwa jicho la mbali kabisa.Huo ni upumbavu wako. Katiba iliyopo bado ni bora kuliko unavyodhani. Sisi kama CCM,katiba mpya siyo agenda yetu kwasasa. Full stop.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kudai katiba mpya si lelemama. Kelele tu hazitoshi. Hili linataka nguvu kubwa hasa kwenye uratibu na kusukuma mbele jitihada ndani ya changamoto zozote:Hizi kelele za katiba mpya zinapaswa kupigwa bila kukoma, mpaka walioko madarakani wajione kabisa hawana uhalali wa kuongaza nchi. Kwa asili watanzania sio watu wanaoweza kupigania haki zao kwa maandamano kutokana na athari za ujamaa, na kutawaliwa na chama kimoja kwa muda...
Katiba tuliyonayo imepitwa na wakati sana, mambo ya kuteuliwa kama ma-DC na Ma-RC yamepitwa na wakati sana, katiba iturudishie mamlaka ya kuchaguaKwa machozi na damu nchi yetu inahitaji muelekeo mpya. Mwelekeo wa kuwaandaa watu wetu na mabadiriko ya kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Katika ndiyo mwarobaini. Katiba itakayomtambua na kumthamini kila raia, itakayotupa haki ya kuwawajibisha viongozi, itakayoheshimu utu wa raia wote. Wanasiasa hawapaswi kutupangia lini na wapi tunapaswa kupatiwa katiba.
Hapa j4 tumeanzisha vuguvugu la kuaida katiba mpya post tofati na kudai kati mpya nikuipotezeKatiba tuliyonayo imepitwa na wakati sana, mambo ya kuteuliwa kama ma-DC na Ma-RC yamepitwa na wakati sana, katiba iturudishie mamlaka ya kuchagua
I support you > 100%. Suggest the starting point and alternative move if the same point is wrongly perceived or deliberately frustrated by any authority.Kwa machozi na damu nchi yetu inahitaji muelekeo mpya. Mwelekeo wa kuwaandaa watu wetu na mabadiriko ya kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Katika ndiyo mwarobaini. Katiba itakayomtambua na kumthamini kila raia, itakayotupa haki ya kuwawajibisha viongozi, itakayoheshimu utu wa raia wote. Wanasiasa hawapaswi kutupangia lini na wapi tunapaswa kupatiwa katiba.