monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Nawasalimu ninyi nyote kwa jina la katiba mpya.Watanzania na Wasiowatanzania sote kwa sauti moja tunapaswa kuungana na kudai katiba mpya.Bila katiba mpya tutaendelea kuishi Tanzania kwa hisani ya viongozi waovu (usalama wetu unatokana na namna wanavyofikiria hao viongozi na mfano mzr kwny hili ni Magufuli)
Huu ni uzi maalumu wa kuelimishana na kuungana na kudai katiba mpya!
Karibuni sana!
Huu ni uzi maalumu wa kuelimishana na kuungana na kudai katiba mpya!
Karibuni sana!