KATIBA MPYA,special thread

monde arabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
8,781
Reaction score
13,444
Nawasalimu ninyi nyote kwa jina la katiba mpya.Watanzania na Wasiowatanzania sote kwa sauti moja tunapaswa kuungana na kudai katiba mpya.Bila katiba mpya tutaendelea kuishi Tanzania kwa hisani ya viongozi waovu (usalama wetu unatokana na namna wanavyofikiria hao viongozi na mfano mzr kwny hili ni Magufuli)

Huu ni uzi maalumu wa kuelimishana na kuungana na kudai katiba mpya!

Karibuni sana!
 
Tayari kuna uzi kama huu na umejaa comments kibao...

Nenda kachangie huko...
 
Tuko pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…