Katiba mpya: swali

Bra-joe

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,124
Je, haiwezekani kuazima katiba kutoka ktk nchi nyingine? Kwa upeo wangu mdogo kisiasa na kielimu nafikiri katiba ikiwa nzuri husababisha nchi kuwa na maendeleo, uongozi bora na haki sawa kwa wote. Kama ni hivyo, kwa nini tusiazime katiba kutoka ktk nchi zilizoendelea ambazo tunaamini zinautawala bora na zinatoa haki sawa kwa raia wake wote? Ni swali tu wakubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…