Bado unamawazo ya huu muungono kuendelea kuwepo baada ya Samia??? Mbona iko wazi lakini? Huoni hata wapinzani Znz wamekuwa kimya ? Hii ni plan ya Samia mwenyewe,karibu Donge tukuuzie shamba kama unataka kuishi Zanziber.Kitendo cha mgombea urais kuchagua mgombea mwenza (finger picking) kinaleta Makamu wa Rais dhaifu, ambaye Rais anapofariki makamu anapokuja anapwaya na kushindwa kuendeleza dira ya taifa.
Katiba Mpya ya Tanzania inapaswa kuweka mchakato wa kumtafuta Mgombea Mwenza sawa na ule wa kumtafuta Rais. Hatua hii itahakikisha kuwa Makamu wa Rais anachaguliwa kwa uangalifu, akizingatia uwezo, uadilifu na maono ya kitaifa. Kupitia mchakato wa wazi na shirikishi, taifa litapata viongozi wawili wenye nguvu na uwezo wa kushirikiana katika kusukuma maendeleo. Hii itasaidia kuepusha changamoto kama zilizojitokeza baada ya kifo cha Rais Magufuli, ambapo nafasi ya Makamu wa Rais ilibeba mzigo mkubwa bila maandalizi ya kutosha. Kwa hivyo, usawa wa mchakato huu ni msingi wa uthabiti wa uongozi na mustakabali wa taifa.
Huyu Haramu atoke kwanza.Kitendo cha mgombea urais kuchagua mgombea mwenza (finger picking) kinaleta Makamu wa Rais dhaifu, ambaye Rais anapofariki makamu anapokuja anapwaya na kushindwa kuendeleza dira ya taifa.
Katiba Mpya ya Tanzania inapaswa kuweka mchakato wa kumtafuta Mgombea Mwenza sawa na ule wa kumtafuta Rais. Hatua hii itahakikisha kuwa Makamu wa Rais anachaguliwa kwa uangalifu, akizingatia uwezo, uadilifu na maono ya kitaifa.
Kupitia mchakato wa wazi na shirikishi, taifa litapata viongozi wawili wenye nguvu na uwezo wa kushirikiana katika kusukuma maendeleo. Hii itasaidia kuepusha changamoto kama zilizojitokeza baada ya kifo cha Rais Magufuli, ambapo nafasi ya Makamu wa Rais ilibeba mzigo mkubwa bila maandalizi ya kutosha. Kwa hivyo, usawa wa mchakato huu ni msingi wa uthabiti wa uongozi na mustakabali wa taifa.
Hili ni wazo zuri piaHatuhitaji makamu wa rais.
Agombee rais, akifa tufanye uchaguzi mwingine, hatutaki kupoteza pesa za umma kuwa na makamu wa rais ambaye hana kazi kwa miaka mitano.
Makamu wa rais ana tofauti gani na mbunge wa viti maalum?
Tuchague viongozi wenye afya nzuri, na wenye utimamu wa akili.
Makamu wa raisi ni uharibifu na upotezwaji wa pesa za umma.
Nasema katiba mpya isiwe na makamu wa rais, hatutaki wachawi kuvizia wenzao wafe wadandie madaraka.
Umeanza kupata akiliKitendo cha mgombea urais kuchagua mgombea mwenza (finger picking) kinaleta Makamu wa Rais dhaifu, ambaye Rais anapofariki makamu anapokuja anapwaya na kushindwa kuendeleza dira ya taifa.
Katiba Mpya ya Tanzania inapaswa kuweka mchakato wa kumtafuta Mgombea Mwenza sawa na ule wa kumtafuta Rais. Hatua hii itahakikisha kuwa Makamu wa Rais anachaguliwa kwa uangalifu, akizingatia uwezo, uadilifu na maono ya kitaifa.
Kupitia mchakato wa wazi na shirikishi, taifa litapata viongozi wawili wenye nguvu na uwezo wa kushirikiana katika kusukuma maendeleo. Hii itasaidia kuepusha changamoto kama zilizojitokeza baada ya kifo cha Rais Magufuli, ambapo nafasi ya Makamu wa Rais ilibeba mzigo mkubwa bila maandalizi ya kutosha. Kwa hivyo, usawa wa mchakato huu ni msingi wa uthabiti wa uongozi na mustakabali wa taifa.
Ni hili tu ndilo wazo la maana, hatuhitaji makamu wa rais nchi hii.Hili ni wazo zuri pia
Huwa huzitumii.Nina akili siku zote ila haunielewi