Katiba mpya Tanzania na elimu yetu

queenrose

New Member
Joined
Jun 15, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Nimeisoma sana katiba ya Tanzania ya mwaka 77,ina mambo mengi sana lakini katika suala la elimu ambayo kwa sasa ni maisha yetu sijafanikiwa kuona chochote,je wewe mwana JF ungependa katiba mpya izungumzie nini juu ya elimu yetu katika ngazi zote awali mpaka Dokta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…